MUUNGANO - KISHERIA NA KISIASA


Muungano - kisheria na kisiasa

Mijadala mirefu na mingi ya kisheri imekaririwa kuhusu Muungano wa Tanzania, karibu yoteya mijadalahiyoikipingauhalaliwa kisheriawauundajiwa Muunganohuo. Wengine badala yake kuuita uharamia wa kisheria na wa kisiasa.

Uchambuzi huo wa kisheria umesaidia kufafanua mambo mengi ya maana, ingawa bado tunasubiri kauli sahih za baadhi ya wanasiasa waliyoshuhudia namna ya utekelezaji wa tukio hilo. Kwa sababu ya pungufu za uhuru wa kutoa maoni na demokrasia kwa jumla, mjadala wa suala hili muhimu wa kisiasa umekuwa pungufu na dufu. Kuna mambo mengi mno ambayo hayajagusiwa kabisa kuhusu misingi ya uundaji ya Muungano huu. Itakuwa ni jambo la maana sana ikiwa kutatupwa mchanga wa moto ili kuzidi kushajiisha mjadala wa suala hili muhimu sana. Njia moja wapo, ambayo sio lazima ya pekee, itakayosaidia kutupianurusuala hilinikujaribukulidadisisuala hilikwahistoriayakisiasa yachama cha Afroshirazi Party,uundajiwake, siasa namaisha yake, kushirikikwakekwenye mapinduzi na katika Baraza la Mapinduzi na hatimae kuunganishwa na TANU.

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Postagem Anterior Próxima Postagem